速報APP / 運動 / YangaSC Official App

YangaSC Official App

價格:免費

更新日期:2020-08-27

檔案大小:21M

目前版本:1.7.2

版本需求:Android 4.1 以上版本

官方網站:http://www.yangasc.co.tz

Email:digital@yangasc.co.tz

YangaSC Official App(圖1)-速報App

Hii ni app rasmi ya Young African Sports Club (Yanga). Jisajili kama Mwanachama wa Klabu au Shabiki ili kupata taarifa mpya za klabu, video, picha, mahojiano maalumu, nunua bidhaa za klabu, tuza wachezaji na changia maendeleo ya klabu yako.

Ukiwa na application hii katika kifaa chako cha mkononi utapata habari zote za klabu zako pale tu zinapotokea. Pakua sasa na ufurahie huduma rafiki kwa ajili yako.

YangaSC Official App(圖2)-速報App

Ukiwa na hii application unaweza kufanya yafuatayo

> Yanga Taarifa: Kupata taarifa za matukio yote ya Klabu pamoja na soka kwa ujumla hapa nyumbani pamoja na ulimwenguni.

YangaSC Official App(圖3)-速報App

> Plaza: Utaweza kununu bidhaa rasmi za Klabu ikiwa ni pamoja na Jezi ya timu, Kitambulisho cha uanachama na kadhalika

> Ada: Unaweza kulipia ada yako ya uanachama na kupata taarifa za uhai wa uanachama wako. Hakikisha unakwenda na kazi ya Klabu ya kuwa mwanachama wa kidigitali

YangaSC Official App(圖4)-速報App

> Tuzo: Utaweza kuwatuza wachezajia pamoja na benchi la ufundi wakati wa mechi mbalimbali za timu. Ni rahisi, utawatuza kwa kutumia mitandao ya simu

> Changia: Utaweza kuchangia miradi na matukio mbalimbali ya timu kwa urahisi kabisa kupitia mitandao ya simu

YangaSC Official App(圖5)-速報App

> Matawi: Utaweza kujiunga na Tawi la yanga karibu na makazi yako na kushiriki katika miradi mbalimabali kupitia matawi ya wanachama

> Kikosi: Wajue wachezaji wa Klabu yako kwa undani na ukaribu, fahamu historia zao na weledi wao katika mchezo wa soka

YangaSC Official App(圖6)-速報App

> Bonus: Jiunge na mfumo wa Shabiki Bonus upate zawadi mabali mbali kutoka na michango yako kama mshabiki

Sasa timu ya Wananchi kuletwa Kiganjani kwa Wananchi. Yanga Kidigitali Zaidi

YangaSC Official App(圖7)-速報App

Timu ya Wananchi Kidigitali Zaidi

YangaSC Official App(圖8)-速報App